Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la msanii Mabovu kutoka msikiti wa Mwangata kwenda makaburi ya Mlolo Iringa siku ya jana.
Msafara wa magari kuelekea makaburini.
Mwili wa marehemu Mabovu ukiwekwa sawa kabla ya kuzikwa siku ya jana.
Waombolezaji wakiuzika mwili wa Mabovu.
Msanii Joh Makini akiwa katika mazishi.
Wasanii mbalimbali wakiwa katika mazishi ya mabovu jana.
Bashiri akiongelea kifo cha Mabovu.
Watangazaji wa Radio Ebony Fm waliofika katika mazishi hayo jana.
Msanii Nurdin (kushoto) akiwa na Geofrey Ngelime wakati wa mazishi ya Mabovu.
Marafiki wa marehemu Mabovu wakiwa katika picha mara baada ya mazishi mwenye nguo nyekundi ni mtangazaji wa Ebony Fm Edo Bashiri, msanii DJ Nacy (wa tatu kulia) nina msanii Nurdin.
Marafiki na wasanii mbali mbali wakiweka chata zao katika kaburi ya Mabovu.
Wasanii wakiwa wamechora chata mbali mbali juu ya kaburi la Mabovu.
Baadhi ya wasanii wa kundi la Weusi ambao wamefika Iringa kumzika msanii Mabovu jana.
Rapper Joh Makini akichangisha rambi rambi.
(PICHA NA FRANCIS GODWIN)
1 comment:
Ushauri wa bure kwa Joe Makini hakukua na haja ya kwenda na ma headphone msibani
Post a Comment