ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 25, 2014

Rais Obama amtumia salamu za Kheri Rais Kikwete

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilishakwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya
njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama siku ya Jumatatu Novemba 24, 2014 jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya wafanyakazi waUbalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington D.C. wakati walipomtembelea mjini Baltimore Maryland ambapo balozi Liberata Mulamula aliwasilisha kwa Rais Kikwete Salamu maalum za kumtakia kheri
na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma salamu maalumu za kumtakiakheri na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani  siku ya Jumatatu Novemba 24, 2014 
jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na BaloziLiberata Mulamula na ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kupokea salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani  siku ya Jumatatu Novemba 24, 2014  jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata
Mulamula na ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi wa Tanzania
nchini Marekani baada ya kupokea salamu maalumu za kumtakia kheri na
afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani  siku ya Jumatatu Novemba 24, 2014  jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi Liberata
Mulamula na ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi wa Tanzania
nchini Marekani baada ya kupokea salamu maalumu za kumtakia kheri na
afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani  siku ya Jumatatu Novemba 24, 2014  Baltimore, Maryland, Marekani. Picha na Freddy Maro

No comments: