ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 26, 2014

Shukrani kwa kutufariji katika msiba wa mama Delphina Muyinga Tanzania

Familia ya Jeffy Deo Nkanda wa Maryland U.S,
tunapenda kuwashukuru Watanzania wote wa DMV na nyumbani Tanzania kwa kuja kutufariji katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama yetu mpendwa Delphina Muyinga uliotokea November,2. Hatuna cha kuwalipa kwa fadhila zenu bali mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwazidishia kwa wema wenu.Bwana alitoa na sasa ametwa, ameni.
 Juu na chini ni taswira mbalimbali za msiba wa mpendwa mama Delphina Muyinga

No comments: