UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV UNAWATAARIFU
KUHUSU UFUNGUZI RASMI WA MADARASA YA LUGHA YA KISWAHILI
- Uandikishaji wa shule ya kujifunza lugha ya kiswahili utaanza rasmi tarehe 1/12/2014
- Kutakuwa na madarasa mawili kila Jumamosi kuanzia tarehe 10/1/2015 saa 9:00 mchana hadi saa 11:00 Jioni.
Kuandikisha watoto wa miaka 3 hadi 5 wasiliana na
Bernadeta Kaiza namba (240) 704-5891.
Kwa umri wa miaka 6 na kuendelea, hata watu wazima wasiliana na
Asha Nyang’anyi namba (301) 793-2833.
TUNATANGUILIZA SHUKRANI.
1 comment:
tunaomba kujua location please
Post a Comment