Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lakini kweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze dada zangu kwasababu ukweli unaoumiza ni bora, kuliko uongo unaofurahisha.
Hakuna mwanaume riijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo Karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never.
"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe mwanamke kila siku ukikutana na jamaa yako faragha lazima yeye ndio aombe kamchezo, wakati kuna sehemu akienda mwanamke mwenzako ndio anaandaa mazingira ya kuomba kamchezo kutoka kwa jamaa, now u see the difference.
Mara zote mkitoka lazima wewe ndio uwe ume suggest mtoke tena yeye ndio ana pay bills, wakati kuna mwanamke mwenzio some where ingawa sio mara zote, ila mara chache chache yeye ndio anamuomba jamaa watoke na ndio ana pay bills, umeona.
Humshauri jamaa hata kununua an asset, wewe ni kuvaa na kujirusha wkt kuna mwanamke mwenzako kashatafuta kiwanja kwa siri huku mkononi ana angalau robo amount ya gharama nzima ya kiwanja, upo hapo.
Kwa mliooana, mumeo karudi Home, hata kabla hujampokea ni makelele mtindo mmoja, unaleta mere allegations kwamba anakusaliti wakati hujathibitisha, yani wivu yako tu yanakuwehusha, wakati kuna mwanamke mwenzio jamaa akienda kwake anapokelewa kwa utulivu, anaenda kuogeshwa tena kwa maji yenye iliki, anakula chakula tena kile anachokipenda, anakandwa apunguze uchovu then anapumzishwa, unaona hapo.
Dada zangu yani hakuna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja sababu hawezi kuwa na vyote ambavyo wanaume tunavihitaji. Sisemi michepuko iendelee ila hiyo ndio hali halisi, angalau mjitahidi kuwa mnasoma alama za nyakati ili angalau apunguze michepuko ila sio aache kabisa.
12 comments:
Yaani nakubaliana na wewe mwandishi kwa asilimia mia moja na moja. Mimi nimeoa ila wivu wa mke wangu,ugomvi wa mara kwa mara, majigambo, matusi, dharau kupita kiasi umenifanya nitoke nje ya ndoa. Yaani huko nje kwa mwanamke mwingine wa nje napata ile kitu roho inapenda. Natamani hata kulala huko huko ila inabidi nirudi kunusuru ndoa na watoto wangu sitaki waishi bila kuwa na father's figure. Tena hawa wanawake wa huku Mamtoni wakifika huku wanabadilika wanajifanya wanaiga wa western culture kabisa, wewe cha kufanya kunusuru ndoa na watoto tafuta kichwa cha nje yaani utaona ndoa tamu balaaaa, hupati pressure wala nini. Ukifika home akipiga makelele yake unaona kama anapiga blues vile na akitaka kutoa mchezo atoe asipotaka asitoe ni sawa tu maadam unajua pa kuponea. Ukifuata ushauri wangu hupati pressure wala nini. Maisha yenyewe mafupi "we live only once".
sikubali na kichwa na habari hapo juu eti hakuna mwanamme rijali anayeweza kuwa na mkee mmoja na nikaisoma habari yote kikamilifu. hivi walio na wake wammoja siyo rijali?
na kwanini basi msiwe waislamu mkawa mnaowa mpaka wane?
na tabia hiizi za ukwera zinaanza toka ulipotoka huko kwenu kama baba yako alikuwa mtu wa nje na vimada na watoto kila pembe au alikuwa na nyumba ndogo basi na wewe utarisi tu utake usitake chunguzeni mtaona.
na nikweli hakuna anayependa kuwa na mke kisirani ndani ya nyumba kila leo mikelele wee na mabala mengi tu;
lakini kutoka kwako nje na kujenga nyumba ndogo siyo suluhisho la hilo tatizo lako kuna siku siri itafichuka kuokoa ndoa kutakuwa hakuokoleki tena,mtatengana na majuto juu.
kama kweli unampeda mwenzio kwanini msikaae kitako na kusuluhisha tatizo lenu kama hamuwezi nendeni kwa counselor kwama kweli mnapendana.
ndoaa ni tamau sana na mkee ni mtamu sana kumbuka ulimuowa hujalazimishwa,ulimpenda so kwa nini usijaribu kutafuta ufumbuzi wa tatizo lako.
hakuna linaloshindikana katika dunia ya leo na mwanamkee ukimuonyesa mapenzi ya kweli atakuja kujirudi na kurudi katika mstari .
mimi niko na mke wangu tumepitia mengi mengi sana lakini we are still going on stronger and stronger na sijatoka hata nje ya ndoa yangu hata siku mmoja na vituko kibao kanifanyia mwisho wa siku karudi matao ya chini mwenyewe
.nawapenda sana watoto wangu na nimewaonyesha mfano bora wananililia mimi kabla hata ya kuumlilia mama yao ninapokwenda kazini na ninaporudi wanafurahi ajabu na kunihadithia shuleni wamesoma nini na imepita wakati hata kula hawataki kula kama hawajaniona.mke wangu anashanga tu kwa mapenzi walio nayo watoto wangu.usithani watoto wadogo hawajui au hawafahamu ukiwaonesha mapenzi na upendo na heshima kwa mama yao na wao hata kama ni wadogo watakupenda tu na wewe.
ndoa kuvumiliana na kujaribu kuyachukua yale mazuri ya mwenzako na mabaya yake kuyaziba kwa mazuri anayokutendea.
nawatakia ndoa njema wote wana ndoa na pia wale wasio wanandoa karibuni sana mjiunge kwenye ndoa ni tamamu kuliko mnavyodhania,majungu yapo na milia na mabonde ya kupanda yapo but mkipendana kikweli kweli mtadumu tu katika ndoa zenu karibuni sana jamani kwenye ndoa.
rijali anayetoka nje ya ndoa kwakweli hajengi ila anabomoa kwa mikono yake kidogo kidogo kunasiku ndoa itaporomoka tuu.
Kwenda mbele huko na huu upuuzi wako. Ndio maana hao wote waajiitao marijali wanaishi na virusi vya ukimwi. Mukiukwaa huko musituletee majumbani. Dawa si kutoka nje bali ni kuelezana ya moyoni na mwenzako ili kuboresha mahusiano.
Life is pleasure and you get pleasure the way you want it..we live only once.
Neno hilo Mhe. Anicetussssss!!!!!!
its true we live only once and you get the pleasure the way you want it,but we dignitiy and morality and with the sense of improving and building your life not destrying it just for the sake of getting that pleasure.
today pleasures tomorrow sorrows,meaning your wife will want her divorce when she finds out about your affairs,your kids will miss you love and support once when you divorce or separate and so many thing down on the road do you really want to go there; just for the sake of having pleasures.
try this tell your lover I want to divorce my wife or separate with her and I want to stay with my kids and be with you what do you think,ask her this questiong and see her reactiong,no women wants to rise somebody else kids very few will do that.
marijali oyeee jipe raha mwenyewe dawa ya mke kisirani mtafutiye nyumba ndogo nawewe unapunguza stress za maisha nyinyi hayajakukuteni kuwa katika situation za mwanamke balaa ndani ya nyumba hataki kukaa chini kuzungumza yeye ndo yeye na mimi kidume cha mbegu kwa nini na mimi nisiwe ndo mimi MNAWAZIMU NINI.
Mwanamke akinichengua na mimi namchengua,akininyima game Napata kwingine akinipa sawa akikoma sawa kwangu najua wapi napopapata wala sijali kila mtu na hamsini zake.
chamuhimu wanangu nawatunza nikimuacha nampeleka mama yangu anilele.wasituzinguwe bure mademu nuksi.
mwanamme rijali hawezi kuwa na mkee mmoja hata siku mmoja ukimuona anaye mke mmoja basi ujue IKO MASKINI AU IKO GONJWA GONJWA HAWEZI MAMBO. HALAAAAAAAAAAAAA MWANANGU.
naandika comment hii napepewa na demu wangu wa nyumba ndogo na kulishwa kinishuke kwa raha zangu nikirudi kwangu hata sina time na kisirani wangu namuona kama kichaaa tuu na mikelele yake isiyoisha. mwanamme kubebeleza bwanaaaaaaaaa.
Hata mademu sisi wa sikuhizi..tuna mabwana nje. Halafu tuna..michepuko..ya haja hata wanaume. Zetu hawajui. Kelele nyingi kuwatosheleza wake zenu shida. Mnafikiri..wenye michepuko..ni nyinyi..wanaume..tu hata sisi wanawake tunao wa pembeni..habari ndio hiyo. Dunia..ya usawa..hii
mmm mwanamkee kweli amejitokeza na kusema haya mmm dunia imekwisha kabisa duuu.but sitaki kuamini hivyo kaandika comment hapo juu.japo kuwa najua sana wako wanawake wengi wana michepuko nje but muandishi ukimsoma anaonekana kama he is a dude.nimesomea maandishi ndo maana najua tafuti ya mwanamme anavyoandika na mwanamkee.
hakutoshelezi njoo kwangu nitakutosheleza umpata utadata na kupata wazimu wa mapenzi kila ukikaa unakuwa unaniwaza mimi tu saa ngapi tuwe pamoja kwenye game njoo baby njoo njoo kwangu na ki winter cha snow hizi aaah nitakutosheleza kiroho safi.
na mkitosholewa msije mkalia pia kusema tunakuumizeni maana hamkawii kusema hayooo.
jamaa yako naona kibamia njoo kwangu njoo baby.wanaume wote si sawa.njoo kwangu njooo.utafurahia maisha na utamuacha wako kabisa si siri.
Hii ni KUHARARISHA UFU*** tu ...Jamani ukimwi UPO na hauna DAWA
Wanaume ndio wanafanya ,wanawake wanakuwa wahuni ,mtu mwanaume zee nzima .linataka ,kufila linafila kwa hela . wanawake wa siku hizi na wanawakomesha wanaume kama una hela kulala .mbele tu ,siunajifanya kila mwanamke unamtaka wanawake wanaambizana ,yule muhongaji ,mzuri wanakukomowa,
Post a Comment