Familia ya Bwana Shariff na Bi Jamila inapenda kuwataarifu juu ya KISOMO cha kumaliza msiba wa mpendwa marehemu Mama yao Bi Aziza S.Bororo kitakachofanyika siku ya Jumamosi 01/10/15 nyumbani kwao kuanzia saa nane na nusu (2.30pm) Adress ni 12726 Gladys Retreat Circle Bowie ,Md 20720 .Tafadhali ukipata taarifa hii mjulishe mwenzako .Contact # 301-674-9667 Shariff
202 -271-1860 Aunt Grace 301-395-5133 Aisha.
No comments:
Post a Comment