Tuna masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa Mzee Henry Ebrahim ,baba mzazi wa Bwana
Elvis Doto Ebrahim Mnyamulu wa Atlanta Georgia, na Bi Salome Ebrahim Mollel wa... Alabama Msiba umetokea leo Saa 11 alfajiri saa za Africa ya Mashariki/nyumbani Tanzania.Mzee Ebrahim alikuwa akitibiwa mjini Atlanta na
Alirudi nyumbani wiki 3 tatu zilizopita kuendelelea na matibabu, hadi alipoitwa kwenye makao ya milele, Ijumaa 01/16/2015.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani Tanzania.(Sinza near Lion Hotel)
Tunaomba tuwaombee na kuwafariji wenzetu katika kipindi hiki kigumu.
Watoto wa marehemu wanaoishi nchini Marekani wanapatikana:
Elvis Doto
404-587-8831
SALOME
Mobile 1 205-835-3404
Bwana ametoa na bwana ametwaa.Jina lake litukuzwe Amen.
No comments:
Post a Comment