ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 12, 2015

Nidhamu kazini ! kina Ras Makunja wakiwahi kibaruani

Tupo mwanzoni mwa mwaka 2015,Lakini swala la kuwahi kazini na nidhamu katika kazi ni muhimu sana sana kama tuwaonavyo wenzetu akina Ras Makunja (pichani) kabla ya muziki kuanza lazima nidhamu iwepo pamoja kuwahi kazini ! pia wenzetu
hawa FFU aka kina ras makunja ndio watumishi wa umma wanaongoza kwa kupiga
vita vitambi au ugonjwa wa kufura minyama nyama ya uzembe mwilini.sio
rahisi kuwaona watumishi wa umma hawa kuwa na vitambi..lazima tuige mfano
bora kutoka kwao

No comments: