ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 13, 2015

PROFESA ANNA TIBAIJUKA AWATEMBELEA WAPIGA KURA WENYE KERO YA MAKAZI

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Mkazi na Mbunge wa Muleba tiketi ya CCM Profesa Anna Tibaijuka akifanya ziara ya kuwatembelea wapiga kura wake kufuatilia kero za makazi wanazozipata.

16 comments:

Anonymous said...

Anafanya Kazi za Wizara yake jimboni....

Anonymous said...

Ankutemebeleenni hela yenu katia mfukoni, ndio kujiosha au vipi?

Anonymous said...

Hii Kali sana unatembea kwa miguu bila viatu na kukaa nje ya iko kibanda wakati una 1.6 bil kwenye bank account. Hiyo hela ingeweza kuwafanya watu wote wa sehemu hiyo kuwa na maisha bora sana. I am not buying this photo OP

mido boy said...

Ulikuwa wapi toka 2010

Anonymous said...

Hii inanitia mashaka kuhusu hawa maprofesa wetu kama wanapata hisi shahada kwa uelewa wao au uwezo mkubwa wa kukariri. Wewe umeshikwa na vithibisho vya kuwekewa zaidi ya bilioni moja kwenye account and then unakwenda kuwapiga changa la macho wananchi wako masikini kwa kupretend unatembea bila viatu na kukaa nao kwenye mkeka? Ama kweli mhaya hana haya. Kulikoni ukitoka pedicure inakusubiri.

Anonymous said...

Si amuombe tu Kaka yake Rugemalira ama Bishop .....

Anonymous said...

vyovyote vile Watanzania hawana Imani na Uongozi wote wa CCM na huyu mkuu pia wa huko UGANDA Tiba. Inasikitisha. Kwanini watu hawana viatu?

Anonymous said...

Hayo mabillioni ya escarow si yange build modern houses for the whole kata.hehheee, bongo politians kwa kudanganya wananchi - they are no one. Good luck profesa

Anonymous said...

How can she be sacked as a Minister and still be an MP - the code of conduct are all different?

Anonymous said...

From the posh offices of UN at KCC Nairobi to barefoot - good luck professoar. You can only fool u but not god. All the best.

Anonymous said...

compare hiyo na hekalu lake la Makongo. It makes me cry and makes me so sick!!!!

Anonymous said...

Inasikitisha Sana kuona jinsi Watanzania tunaendelea kufanywa wajinga. Huyu Mama, kweli sikatai ni moja ya Wachapa kazi wazuri. Alijiabisha kwa kushiriki katika uchotaji wa pesa za Umma. Hata akitembea peku kwa miguu Leo hii haina tena dhawabu kwa Mungu labda arudishe 1.6 billion ya wanyonge.

Anonymous said...

Tumechoka kudanganywa. Mama kweli hatukatai Ni mchapa kazi mzuri Sana ILA alijidanganya na pesa za umma. Leo hii mama hata akitembea peku hapati dhawabu kwa Mungu labda arudishe pesa ya Wanyonge

Anonymous said...

mnamsema sana mmezidi na mkome kuwasema wahaya kwani makabila menginewe hawajafurunda na kugaiwa hizo pesa mbona mnawanyamazia kimya.

muajibisheni mkuu wa nchi wenu kwanza mso haya wala msoona vibaya, ma mbururaaza always will be mabururaaaz.pigeni maboksi huko mpaka mtoke roho zenu.

ya Tanzania mnayatakia nini na nyinyi si mko marekani.ncha kali kweli huko kila leo mnayatafuta ya Tanzania tafuteni ya huko kwenu kwa Obama au kizungu kinakupigeni chenga?

msohaya wababe maboksi mwafyuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Anonymous said...

wee anony January 13, 2015 at 10:58 PM Nani kakwambia kwamba wachangiaji wote hutu tupo huko kwa obama. Sisi inatuuma kila tunavyowaona hawa wezi na watoto wao wanavyonyanyasa hapa nchini kwa hela ya walipa kodi. Sijui kama unajaribu kutetea wizi wa mama yako au ni mmoja wa wapumbafuuu wasiofikiria.

Anonymous said...

Kwa taarifa yako sio kila anayeishi USA ni mbeba boksi. Tembea uone. Watu wana maisha weww. Wivu tuu umekujaa..wee ma vumbi huko bongo. Watu wana life huku wewe. Unafikiri kila mbongo aliye USA hana elimu au makaratasi. Watu tuna maisha ya maana USA na Bongo. Acheni wivu wenu wa kijinga eti kila aliye USA mbeba..box.