ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 11, 2015

TASWIRA YA KISOMO CHA BI. AZIZA BORORO CHAFANYIKA BOWIE MD

IMG_9972Anti.Ashura kushoto akiwa na Bi.Jamila mfiwa wakati wa kisomo cha mama yake mzazi Bi Aziza Bororo kilichofanyika nyumbani kwao Bowie Md Jumamosi Januari 10,2014. IMG_9986Bw.Sharrif Makono akiwa nyumbani kwake Bowie Md wakati wa kisomo cha mama mkwe wake Bi.Aziza Bororo. IMG_9976Bi.Hidaya Mahita. IMG_9975Joha Nyang'anyi. IMG_9981Lisa Luhanga. IMG_0053Vera, Dj Jo na Sophia Mgaza.IMG_0011Rais wa jumuiya ya watanzania-DMV Iddy Sandali akiwa na mwenyekiti wa CCM -DMV George Sebo katika kisomo.
IMG_0057Lilian Makono. IMG_0013Uncle Joel
IMG_0009 IMG_0005 IMG_0032 IMG_9990 IMG_0002 IMG_9978 IMG_0029 IMG_9986

2 comments:

Anonymous said...

MTU YOYOTE AKIFA, HAKUNA KINACHOMFAA ISIPOKUWA MAMBO MATATU
1. SWADAQA ALIYOIFANYA MWENYEWE AMBAYO INAENDELEA, KAMA KUJENGA CHUO, SHULE, SPITALI, KUCHIMBA KISIMA N.K

2. AU ELIMU AMBAYO WANAFUNZI WAKE WANAENDELEA KUIFUNDISHA NA WALE WANAFUNZI HUFUNDISHA WENGINE YAANI INAENDELEA ILE ELIMU HAIMALIZI.

3. AU MTOTO WAKE AMBAE ATAKUWA MWENYE KUMUOMBEA DUA MZEE WAKE MWENYEWE KATIKA MAISHA YAKE.

KWA HIVYO HAYA MAMBO MATATU NDIO YANAYOMFAA MAITI, KUKUSANYIKA WATU WAKACHUKUA VIJUZUU WAKASOMA DAKIKA CHACHE, WAKALA, WAKATIA STORY HILO HALIMFAI KABISAAA MAITI TUNAJIDANGANYA, TUNAKUSANYIKA KWA AJILI YA KUKUTANA HATUJAKUTANA SIKU NYINGI NA KULA, SIO KWA KUSEMA ETI UNAMUOMBEA DUA MZEE HAMNA KITU HICHYO KABISA SIO KATIKA MAFUNZO YA DINI NI MAMBO YALOZUSHWA YAKAKUZWA YAKAPATA NGUVU, KAMA VILE MAULIDI NI UZUSHI, MTUME ALIPOKUFA MASWAHABA ZAKE HAWAKUMSOMEA WALA TABIIIN, WALIKUJA TUU WATU KARNE YA 6 -7 NA KUANZA KUKIANZISHA KITU HICHO MAULIDI, AMBACHO NI UZUSHI, NA KILA UZUSHI NI UDHAIFU NA KILA UDHAIFU NI MOTONI.
WATU WANATAKIWA WASOME WAISLAMU NA WAKRISTO WAIJUE DINI YAO KIKWELI SIO KUSIKILIZA MANENO YA SHEIKH KASEMA AU PADRI KASEMA, KWANINI WEWE MWENYEWE HUJISHUGHULISHI UKATAKA KUUJUA KIKWWELI UMEKUWA UNAFUATA TUU.
UTAELEKEA SIKO SIKU ZOTE KWA KUFATA.
TANBIHI
HII MAADA SIJAMKUSUDIA ALOSOMA HICHI KISOMO KABISA MAANA MASKINI HAJUI KAMA HAIFAI YEYE KAFUATA TUU, NI UJUMBE KWA KILA AMBAE ATAKAEFILIWA NA MTU WAKE ASIJIHANGAISHE KUITA WATU WAKAJAZANA KWAKE AU HOLINI KWA KUSEMA ANAMUOMBEA DUA MZEE WAKE, LA MUHIMU MWENYEWE MUHUSIKA NI KUOMBA SIO KUKUSANYA WATU WAKA CHILL.

MWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MAITI WETU HUYU ALOTANGULIA, AMREHEMU NA AMLAZE PAHALI PEMA PEPONI. AMIYN

Anonymous said...

Anony wa kwanza,kaa na ukereketwa wako si twaendelea na mila zetu. Hayo mambo ya Answar Sunna hayatuhusu. Kumbuka waafrika,dini tumerukia,ikachanganywa na tamaduni. So,unavyotaka wewe si navyotaka mie. Na mambo ya familia yakuuumia nini wewe???