ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 14, 2015

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA MOMBA NA MKOA WA RUKWA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (wa tano kushoto) akipewa maelezo alipoenda kukagua eneo linalotegemewa kujengwa soko la kimaifa la samaki eneo la Tunduma katika Wilaya ya Momba. (Picha na Mwakipesile).
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Kamani (kati), akipewa maelezo alipotembelea kiwanda cha kusindika nyama cha SAAFI kilichopo Sumbawanga. Kulia kwake ni Mhe. Chrisant Mzindakaya mmiliki wa kiwanda cha SAAFI. Kiwanda hicho kina uwezo wa kuchinja ng’ombe 300 kwa siku.
Shughuli za uchinjaji zikiendelea katika kiwanda cha SAAFI kilichopo katika Wilaya ya Sumabwanga mkoani Rukwa

No comments: