ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 13, 2015

WIMBO WANGU WA LEO

1 comment:

Anonymous said...

ujumbe mzuri sana na umeshfika katika moyo wangu,ahsante jay dee kwa wimbo wako huu. roho ya mtu ni kichanga, unayemdhania mwema kwako kumbe mchawi kwako.wakikuona unapata dhiki furaha kwao.

but mungu ndo yote anayepanga na yote ndo anaye bariki.

poa sana.

huyu mdada hakuna kama yeye anajiamini si muuza sura wala mwenye drama kwenye vyombo vya habari kila leo kutaka kuandikwa.anafanya kazi zake poa poa poa kabisa down to earth lady jay dee.

tunahitaji wasanii kama hawa Tanzania.

jay dee wewe ni zaidi ya almasi.