Prisca na Elius wakiwa katika picha ya pamoja na watoto katika sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Prisca na Elius wakipokea zawadi kwenye sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland.
Elius na Prisca wakipata chakula.
Prisca akipata ukodak moment na wageni wake.
Watoto wakitoa baraka kwa watoto wenzao watarajiwa.
Prisca akilisha keki Elius.
Elius akimlisha keki Prisca.
Prisca akimnyweshwa shampeni Elius.
Elius amkimnywesha shampeni Prisca.
3 comments:
Good job ladies Teddy, Mage, Lulu, Adella and Frida.
mbarikiwe jamani sana na mtoto atakaye kuja. na nauliza hivi ni vizuri kunywa ka shampagne katika hali ya uja uzito nauliza tu kwa amani na upendo nipate kujua because kuna mke wangu naye mtarajiwa na amekatazwa pombe ya aina yeyote asinywe so nauliza tu.
any way kila la kheir
Pombe wanakatazwa.labda alikuwa anywa apple cider.
Post a Comment