Hapa ni Watanzania ambao walikutana na kujaribu kila mmoja kuongea juu ya wanavyoelewa history ya Mwl. Nyerere. Siku hii iliandaliwa na Johanne Brierre pamoja na Justa the Founder of curious on Tanzania anaeishi New York Siku ya tarehe 19 kwenye hotel ya Roges NYC.
The Panelists:
Nathan Chiume - Moderator
Deogratius Mhella - Speaker
Shabani Mbeba - Speaker
Sofia Luangisa - Speaker
Mteteaji Mlimwengu - Speaker
Kwa Picha zaidihili kuona watu waliuojitokeza na kupata nafasi ya kuongea na kuuliza maswali jitiririshe chini kwa kubofya soma zaidi.
Mkiangalie Hii video kwenye Youtube, yaani the WHOLE HEART of Mwalimu is here.Just watch it.Ni video ya Hotuba ya Mwaka 1995 MBEYA:https://www.youtube.com/watch?v=jE7oTPXtpas
ReplyDeleteNaijua historia ya mwalimu nyinyi mbona mnaonekana wadogo sana.waaulizeni wazee wa gerezani watakuhadithiyeni vizuri bila ya chenga.
ReplyDeletenadhani mnge fanya historia ya hayati marehemu Edward moringe sokoine mngemtendea haki kweli kwa sabubu yeye ndo aliyekuwa mtetezi wa kweli wa wanyonge. ufisadi huu mnao uona hivi wa kuuibiwa mapesa,ukosefu wa ajira,vijana kuwa wateja vijiweni ajira hakuna yeye angekuwepo habari hizi zisingekuwepo.
huna kazi ya maana ya kufanya mujini mujini unakwenda kijiji kuliza hakuna misheni town wala kuzuba zuba ovyoo vijiweni bila shughuli maalum.
hayati sokoine ndo aliyekuwa mtetezi wa kweli wa wanyonge.mwanzi mwisho japo kuwa kila binadamu hakosi kuwa na mapungufu yake na mame yake pia tusiyasahau.
You know what wabongo aibu zenu na viongozi wenu......I am sure if mwalimu angekuwa mzima things would have been different. ..too much wizi, ujinga and selfish idiology....
ReplyDeleteToo many vyeo visivyokuwa na maana.....shame
Wow! very nice interview keep it up Justa. Happy to hear from a young gentle man who embrace what Mwalimu did to our country!
ReplyDeleteAnother fan to both of you (Justa and Constantin)
Good job!
Naam bila ya wazee wa gerezani hakuna historia ya mwalimu nyerere hapo.
ReplyDelete