Sunday, February 22, 2015

MKUTANO WA WANA-CCM JIMBO LA CALIFORNIA TAREHE 07-03-2015 USIKOSE !!


Pichani viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) California Erick B.ambaye ni Katibu akiwa na Mwenyekiti wake Josephine M. wakiwa na nyuso za furaha na kuwakaribisha wanachama wote kwenye mkutano ambao utafanyika mwezi ujao mjini California. Katibu amesisitiza kwamba mkutano huu utakuwa na habari nzuri kutoka Tanzania na pia kuongelea maendeleo ya nchi yetu tuipendayo ya Tanzania. Soma kipeperushi hapo chini kwa maelezo zaidi ya mkutano huu.