Mwanafunzi wa Madrasa Tauin Mwera akisoma Quran kabla ya kuaza kwa hafla hiyo, iliofanyika katika viwanja vya Afisi ya Mkoa wa Kusini Unguja.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkua wa Kusini Unguja kukabidhi Vifaa hivyo.
Mke wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja Dunga.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi Seti ya Vipaza sauti Katibu wa Madrasa ya Tauin Mwera Ndg Hamad Ali, makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya CCM dunga
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi seti ya Fotokopi Katibu wa CCM Mkoa wa Kusinu Unguja Bi Sauda Ramadhani , kwa ajli ya Afisi ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja. kwa ajili ya matumizi ya Afisi ya CCM Mkoa.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitowa nasaha zake kwa Wananchi wa Vikundi vya Wanawake vya Ushirika katika viwanja vya CCM Dunga wakati wa kukabidhi Vifaa kwa Madrasa Tauin ya Mwera Afisi ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja na Saccos ya Utawala Bora. Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya CCM Dunga.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,akitowa nasaha zake kwa Wananchi wa Wilaya hiyo katika hafla ya kukabidhi vifaa kwa Madrasa, Afisi ya CCM Mkoa na Saccos ya Utawala Bora, hafla iliofanyika katika viwanja vya Afisi ya CCM Dunga Wilaya ya Kati Unguja.
Wanafunzi wa Madrasa Tauini Mwera wakiwa na Vifaa vyao baada ya kukabidhiwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, madrasa hiyi imekabidhiwa seti ya vifaa vya kupazia sauti kutumia wakati wa sherehe zao na hafla za maulid ya chuo hicho.
Katibu wa Madrasa ya Tauin Mwera Ndg Hamad Ali
No comments:
Post a Comment