Sunday, February 22, 2015

MFANYABIASHARA KUTOKA TANZANIA BWA. HASHIMU LEMA AMTEMBELEA MHE. OMAR MJENGA OFISINI KWAKE DUBAI

Bwa. Hashimu Lema, mfanyabiashara anayemiliki kampuni ya ujenzi ya Comfix, amemtembelea Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, ofisini kwake.

Mhe. Mjenga amemfahamisha fursa nyingi zilizopo Dubai na Ukanda wa Ghuba kwenye sekta hii ya ujenzi, ambako kampuni kutoka Tanzania wanaweza kuwa ni mikataba ya ushirikiano nazo katika utekelezaji wa miradi mbali mbali Tanzania. Njia hii pia itasaidia kuwajengea uwezo na kupata mbinu za teknolojia mpya ( technological Transfer).

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake