Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiiingia uwanja wa maji maji akiwa juu ya gari.
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na kijana wa chipukizi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiongoza shughuli wakati wa maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yamefanyika Songea mkoani Ruvuma.
Diamond akiimba pamoja na Abdul Msimbano na bendi ya TOT kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM mjini Songea.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikwagua gwaride la chipukizi.
Vijana wakiangalia picha ya Hayati Abeid Aman Karume ,Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Msanii Diamond akiwaburudisha maelfu ya watu waliofurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM ambazo kitaifa zimeadhimishwa mkoani Ruvuma.
No comments:
Post a Comment