ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 1, 2015

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM ZAFANA SANA MJINI SONGEA LEO

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya MrishoKikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais JakayaMrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe
za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya MrishoKikwete wakipokea gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe za
kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikweteakihutubia maelfu ya wananchi uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

Msanii Diamond akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada yakutumbuiza katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea wanachama wapya akiwa na Mbunge wa Songe Mjini Dkt Emmanuel Nchimi nan Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe za
kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

PICHA NA IKULU

No comments: