Saturday, February 21, 2015

MKURUGENZI WA TIMES FM AMPA MKONO WA POLE BI ESTA BUGANDO, MWANZA

Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm, Mr. Rehure Nyaulawa akiwa hospitali Bugando Mwanza alipoenda kumpa mkono wa pole bi Esta Jonas ambaye mtoto wake wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi (albino) aliyekutwa na majanga kukatwa mikono na miguu na watu wasiojulikana.

3 comments:

  1. Mungu akubariki. Pole sana mgonjwa na mfiwa. Tanzania need to invest kwenye machine ya fingerprints. Kila raia nawageni wote sio Airport tu wapigwe fingerprint. Iwe harambee. It might sound like a ridiculous suggestion but it will solve a lot of crimes. Hao wahalifu lazima waliacha fingerprints kwenye mwili. Something got to be done.

    ReplyDelete
  2. That is ridiculous, this is done by Tanzanians who practice witch craft. ...people need to be educated even in th villages. God bless our country.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake