Familia ya Mr. & Mrs. Stephen Msungu, wanasikitika kutoa taarifa ya msiba wa Baba mzazi wa Stephen, Mr. Peter Msungu, uliotokea , Ijumaa tarehe 20 February 2015 huko nyumbani Dar-es-Salaam, Tanzania. Msiba upo nyumbani kwa Mr. & Mrs. Msungu, address:
1723 Barnett CT,
Savern Md 21144.
Kama ilivyo mila na desturi yetu karibuni tujumuike kutoa mkono wa pole na kuwafariji wafiwa.
Kwa wale walioko mbali ambao wangependa kutoa rambi rambi , wanaweza kutumia account ifuatayo:
Stephen Msungu
Bank of America
Routing # 052001633
Account # 446031929099
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na:
Esther Natumwa: 240-988-1749
Vitalis Gunda: 240-383-6950
Cane Mwihava : 301-806-4699
Vincent Ndusiro:301-256-8615
Mungu ampumzishe vyema Baba kwenye makao yake ya milele. Amen.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake