Pichani ni Mama mzazi wa Mez B akiwa ameshikiliwa na ndugu baada ya kuingia viwanja vya Mashujaa ili kutoa heshima za mwisho. Marehemu Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga Maili mbili.
Mungu ailaze roho ya marehemu Mez B mahali pema peponi
Baadhi ya wasanii waliohudhuria msiba huu wa Mez B wakiwa kwenye majonzi mazito.
CREDIT:DJ CHOKA
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake