ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 17, 2015

SEMA AMEN KWA KUMSHUKURU MUNGU

Jitazame kuanzia juu mpaka chini Kisha jiulize kimoyomoyo huyu, wewe na Mimi tuna tofauti gani?
Usipite bila kuandika Amen kwa kumshukuru Mungu wako kwa uzima.

1 comment:

Anonymous said...

AMEN,But si you amen peke yake ni lazima ujijuwe wewe umeubwa kwa udongo kuna siku utarudi kwa udongo maisha mapito hapa tupo njiani/safarini hatujafika.

ishi na watu wa heshima zote na ugwana wote na mapenzi yote usijifanye wewe mungu mtu,huna kitu chochote wewe ni kiumbe dhaifu sana mwanadamu.

usijigambe kwa elimu yako,cheo chako,pesa zao yote haya yatakuja kupiga kuna sinu msimdharau mwenzio kwa vile hanavyoo huwezi kujua kwa mungu yeye ndo bora kuliko wewe hapa duniani.

ukiwe na uwezo wa kuwasaidia watu wasaidiye huna usiwasema na kuwakashifu kwa shida na dhiki zao leo umepata wewe kesho unaweza ukakosa na ukahitaji msaada wa hao watu ulioowana kwako taka taka tu.

hujafa hujaumbika.

from yule yule.