Uongozi
wa Jumuiya ya Watanzania hapa Washington DC, Maryland and Virginia inapenda
kuwataarifu wanajumuiya na Watanzania wote hapa Marekani kuwa kwa kushirikiana
na Kampuni isiyo ya kiserikali (NGO)yenye makao yake makuu hapa Marekani
inaandaa kwenda Tanzania kutoa huduma za afya za bure kwa watanzania watakao
hitaji huduma hizo Tanzania. Mission hii itaanzana July 18- Mpaka July 26, 2015.
Tunawaomba Wanadiaspora wa USA haswa DMV kujiunga na sisi twende nyumbani kwenye kutoa huduma hii ya kujitolea.
Bado tunahitaji watu wa kujitolea haswa watanzania tulio hapa USA:
- Madaktari
- Nurses
- Watu wa Kawaida
Bado tunahitaji watu wa kujitolea haswa watanzania tulio hapa USA:
- Madaktari
- Nurses
- Watu wa Kawaida
Pia tunapenda kuwajulisha kuwa tunapokea msaada wowote wa Madawa ya sioyokuwa ya prescription (Over the Counter).
- Dawa za Maumivu
- Dawa za Misuli
- Vitamins
- Gloves
- Vipimo vya Pressure
- Vipimo vya Sukari
- nk
Ratiba:
Schedule for Medical Mission
Date Day of the Week Activity Location
July 17, 2015 Friday Departure Dallas International Airport, USA
July 18, 2015 Saturday Transit Doha, Qatar
July 19, 2015 Sunday Arrival Dar es Salaam, Tanzania
July 20, 2015 Monday Medical Mission- Bara- Mwananyamala Hospital
July 21, 2015 Tuesday Medical Mission - Bara
July 22, 2015 Wednesday Medical Mission - Bara
July 23, 2015 Thursday Medical Mission - Zanzibar- Mnazi Mmoja Hospital
July 24, 2015 Friday Medical Mission - Zanzibar- Mnazi Mmoja Hospital
July 25, 2015 Saturday Medical Mission - Zanzibar
July 26, 2015 Sunday Medical Mission - Bara
July 27, 2015 Monday Departure Dar es Salaam, Tanzania
July 28, 2015 Tuesday Arrival Dallas International Airport, USA

Kwa Maelezo au kama una swali lolote wasiliana na :
Rais - Iddi Sandaly (301) 613-5165
Asha Nyanganyi (301) 793-2833
Asha Nyanganyi (301) 793-2833