Saturday, February 21, 2015

THELUJI UNAYOENDELEA KUMWAGIKA MAENEO YA DMV

 Hii ni Baltimore kama unavyoona magari ya kicheza bampingi kwa mwendo wa jongoo
 Theluji ina inamwagika ndani ya weekend watu wanatakiwa kutulia majumbani mwao kwa halin ya hewa kama hii hata kuendesha barabarani ni hatari.


No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake