Saturday, February 21, 2015

KUSHEHEREKEA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM MGENI RASMI AINGIA NEW YORK KUANZIA SAA 12 JIONI HADI MAJOGOO

TICKETS ON SALE NOW FOR $40 *** THEY WILL BE MORE AT THE DOOR $50
SEATED 3 -COURSE DINNER
FIRST CLASS SERVICE
RED CARPET PAPARAZZI 
DRESS READY FOR ACTION
HIGH LEVEL SECURITY 
@RICH RICH PALACE
11019 ATLANTIC AVENUE RICHMOND HILL NY 11418
**********************************************************
PESA UNAYONUNULIA TICKET UNAPATA CHAKULA NA SOFT DRINKS KAZI KWAKO WAHI TICKET YAKO MAPEMA KWA $40 KWANI MLANGONI SIKU YA SHEREHE NI $ 50.
MH. Ridhiwani Kikwete akiwa na wenyeji wake viongozi wa Tawi la CCM New York wakiongozwa na Mwenyekiti wa tawi Bwana Seif Akida Baada ya kumpokea Uwanja wa Ndege wa JFK tayari kwa Sherehe za Miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM kesho mambo ya meiva kazi kwenu Watanzania wote popote mlipo Mnaombwa kujitokeza kwa nguvu na umoja siyo Chadema wala  CUF  Utanzania kwanza kuanzia saa  12 jioni hadi majogoo kula kunywa na kucheza kwa Dollar 40 tu...

 Mh. Ridhiwani akifurahia jambo na wenyeweji wake uwanjani hapo baada ya kupokelewa. Kwa Picha zaidi nenda soma zaidi.

Kwa picha Zaidi tembelea http://tembaphoto.com/

15 comments:

  1. Ommy Dimples alirudishwa airport mbona hamjasema kama hatakuwepo?

    ReplyDelete
  2. Kwa sisi tusiopenda kusikiliza hotuba, pesa zetu zitarudi tukibadilisha mawazo?

    ReplyDelete
  3. SIO HOTUBA KUNA VIBURUDISHO VINGI TU PAMOJA NA DJ BILALI NA DJ RICHY ALL THE WAYS FROM MASSACHUSET

    ReplyDelete
  4. jamani Watanzania tuwe atlist waelewaji hata kama Ommy Dimple Haji, ni muhimu kusherekes sikuku yetu kwa pamoja tukiwa na best DJ'S.. Let's just have fun on Saturday. Go New York.

    ReplyDelete
  5. Sikukuu ya wewe na nani? sio kila mtu CCM. Mturidishie hela yetu...

    ReplyDelete
  6. tuna sikitika kua dimpoz hatoweza kua nasi kwa siku hiyo ila sherehe itaendelea na kutakua na burudani nyingineo nyingi tu. pia utapata nafasi ya kukutana na watanzania wenzako ambao haujaonana nao siku nyingi..

    ReplyDelete
  7. ommy dimpols hawezi kuhudhuria kwa sababu zisizo epukana so amekuja mheshimiwa mambo waaah.

    shabaan msebe na akida mmeukata wenzetu aisee nyinyi kiboko hata ubalozini hapiti mnampokea nyinyi aiseee kweli mmeukata.

    ccm oyeeeeeee.oyeeeeeeeeeeeeeeeee.zidumu fikra nzuri tu za mwenyekiti oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  8. Mambo ya vyama marekani hayaruhusiwa thats why omy dimpoz karudishwa so ccm chadema be careful na hayo mambo yenu ya matawi

    ReplyDelete
  9. huyo ni mgeni wa chama lazima apokewe na viongozi wa chama..siokila kitu ubalozini kama mwenyewe atapenda atembelee ubalozini hakatazwi...kama angekuja kiserikali angepokewa na ubalozi upo hapo

    ReplyDelete
  10. Rais mtarajiwa huyo na wapambe wake😃😃😃😃😃

    ReplyDelete
  11. watu wanapiga pesa za escrow wanamegewa mgao jamaa kishatuwa kwa wana ccm wa kweli wanajuana wenyewe wanakula bahasha zao zilizonono nono midola midola kalaba bao wewe unasema mambo ya vyama wasifanye watu wanatafuta mgao bwana wana akili zao kichwani bwana wana makaratasi yao wasiokuwa nao ndo wawe tahadhari sana.

    na mimi najiendea japo kuwa najua sitopata huo mgao because hawanijui na si mwana ccm but nakwenda ku party tu kuzipunguza stress za kupiga maboksi.

    ReplyDelete
  12. penye uzia penyeza rupia watu watakwenda tu kwa design hii watu watakwenda hata kuku snow.mnakumbu kaga Enzi zile kijiwe cha ughaibuni kilikuwa kina hadhi kweli inasemwa siasa wewe na mambo kibao ya maana toka walivyopenyezewa rukia wamekaa kimya na wakija hewani wanaleta story za kitoto tooo.

    chezea pesa wewe,shikammoo pesa,fedha,hela,money money, money talk ukweli walk.

    usibane bwana hii comment mkuu please.

    ReplyDelete
  13. Na sisi wana USA Democratic Party tukutane hapa Uvinza Community Hall tunywe ulanzi wetu hadi asubuhi. Wote mnakaribishwa.

    ReplyDelete
  14. Geeeeee watu wanajua kujikomba, they shoul have invited me to be the guest of honour - value for money

    ReplyDelete
  15. hata ningekuwa mimi ningejikomba kama kuna kugaiwa kibahasha basi kujikomba kwa sana mngeniona.why not?money talk the rest is a joke

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake