Saturday, February 21, 2015

CLUB SAFARI HAITAKUWEPO LEO KUTOKANA NA SNOW


Kutokana na hali ya hewa ya snow kuanguka kwa wingi DMV club Safari ya DC inasikitika kuwatangazia kwamba leo Disco halitakuwepo tutaendelea kuwa nanyi wiki ijayo Ijumaa na Jumamosi kama kawaida poleni sana kwa usumbufu wote tuliowasababashia. 

Dj Moe, Dj Seif, Dj P City na Dj Luke tunawapenda sana na tunashukuru sana kwa Sapoti yenu mnayotupa kila siku

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake