Ndugu wa Watanzania,
Kwa masikitiko makubwa jumuiya imepokea taarifa ya msiba wa Kaka wa mtanzania mwenzetu Mama Dina kilichotoka Dar es Salaam,Tanzania.
Sala ya maombi itafanyika kesho, Jumapili Tarehe 22/2/2015, saa Nane mchana (2pm), nyumbani kwa Mama Dina.
Anuani:
21227 35th Avenue Se
Bothell, WA 98021
Pia tunaombwa kuwafariji wafiwa katika wakati huu mgumu wa kuondokea na kiungo muhimu cha familia yao kwa kuungana nao kwenye anuani iliyoainishwa hapo juu.
Namba ya wafiwa - Bw. George, mume wa Mama Dina: (425) 260 4149.
Hakika ya kifo au msiba ni faradhi yetu sote. Jumuiya inaungana na wafiwa kwenye wakati huu wa maombolezo.
Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu - Ameen.
Ahsanteni sana,
Uongozi -Tanzaseattle
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake