Saturday, February 21, 2015

UKITAKA KUIPATA, SHIDA NYINGI VUMILIA, ELIMU


Ukifikia kuitwa doctor shida nyingi umepitia, hususan katika nchi za dunia ya tatu, walimu wasiokuwa nahuruma wakiwachapa bakora za mikoni bila kujali na kujua maumivu yake, mwalimu anatumia nguvu zake zote kuhakikisha anamkomesha kabisa kama atapata vidonda au kuvunjika vidole, ili mradi au ameadhibiwa tu, unajisikia vipi ukikumbuka wakati ulipokuwa shuleni na adhabu kama hizi?

1 comment:

  1. nakumbuka sana mateso, madhila na hata maonevu ukiwa shuleni, ukisahau daftari juu ya desk utapigwa, mwalimu hayupo darasani, akiingia akisikia mulikuwa mnaongea wote darasa zima mtapigwa, mwalimu atakutuma kafyagie sehemu kengele imelia wewe unafyagia unaingia darasani mwalimu mwengine anakupiga, anakwambia yeye hajui hilo bali ni mateso tu, mfumo huu unaendelea mpaka leo wanasiasa wanatuambia tupigwe tu
    MAMA AFRKA

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake