ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 17, 2015

USTAADHI JUMA AWAPA MAKAVU LIVE KWA WANAOPENDA MADEMU WA KIZUNGU

Promota Ostaz Juma (pichani), ametupia maneno kwenye akaunti yake ya Insta na facebook yanayoashiria kuwaponda ma brazamen wenye tabia ya kutoka na mademu wa kizungu, especially wenye umri mkubwa. Kwa mtizamo wake ameonesha tabia hiyo ni sawa na kujishushia heshima Watanzania kwani wazungu wanapokuja nchini huchukua dada zetu wenye mri mdogo.

"ndio maana kwa upande wangu mimi, penz langu la dhati nimeelekeza kwa mke wangu mpendwa Mariam Daudi Mchitinyi," sehemu ya maneno aliyotupia yalisema.

Ostaz akipata Selfie katika eneo la Sanamu ya Kumbukumbu ya hayati Mahatma Gandhi ambaye baada ya kufa na kuchomwa moto, sehemu ya majivu yake inaelezwa yalikuja kumwagwa Mto Nile.
Ostaz akipata 'selfi' moja mbele ya lango la kuingilia mwanzo wa Mto Nile, uliyopo Jinja nchini Uganda ambako anadai amekwenda kutalii, kwani mbali ya kuwa ni sehemu ya kitalii, lakini pia ni sehemu ambayo imetajwa hata kwenye vitabu vya dini. Inaelezwa kuwa mto Nile ndiyo aliongamiziwa Firauni (Farao).
...ni muda wa ku chill na ku relax..
Mkewe, Bi Mariam akiwa na mwanae
...akijichana na samaki wa Mto Nile.......wasanii underground wanauliza mzee umekimbia Bongo na Mtanashati yake?

PICHA: Faceebook/Instagram/GPL

4 comments:

Anonymous said...

kaka hao wanaooa wazungu wazee sio kwa mapenzi ni njia yakutafuta karatasi tu..wala usiwalaumu unless hujakaa maisha ya nje

Anonymous said...

Kaka poa nadhani kila mtu ana uhuru wa kupenda mtu anayependa awe mzungu, mchina, etc.

Anonymous said...

Naona mzee umekuwa mkali,penzi halina color wala umri,wewe uko africa kuzoa binti wa kiafrica ni sawa tu ukiishi ngambo sehemu zingine huwaoni wakina mwa J.kwajiyo unazoa zimwi lolote ambalo ni loyal to u.usikonde mkuu na hao wanao zoa vibuda or vibonge ni mtazamo wa maisha tu.one luv.mchizi canada.

Anonymous said...

wamekukata nini hao wazee wa kizungu na machungu yako umekuja kuyaelezea humu.