Nauliza tu Jamani kwanini mimi kama muhaya, nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na Mtanzania wa kabila tofauti na mimi, scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place, kwani sisi male wa kihaya tunatatizo? Akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio
muhaya, is it that our malehood una walakini? I understand kuna certain stigmas attached to wahaya, lakini hello, for God's sake, hii ni karne mpya, and on top sisi ni generation mpya.
Sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort kwani tuna shida gani ?
10 comments:
Mdau nenda kwa mganga. Hata mimi ni Muhaya ila lazima niende kwa wanganga ili nifanikiwe
mnapenda kudoo sana tena ni hatari so kila demu akikukalia sawa unaramba na si nyinyi wanaume tu hata wanawake.so watu wanakuogopeni kwa hilo.
maradhi yapo mengi dunia imeharibika so hakuna aliye tayari kuhatarisha maisha yake kwa kuwa na mtu anayependa mademu au ma men kila pembe.
Wacha upuuzi,badala upige goti usali unaongelea kwenda kwa waganga,endeleeni kujipalilia matatizo
Ni kweli nyie Hawaya mna fikiri mnajua kila kitu sio tu kwa wanawake ni Jamii nzima kwa Kujisifu hambako hakuna maana biya mnawadharau sana wanawake mnadhania ni chombo cha kukupikia ndizi na kukuzalia watoto. Mnadhania nyie peke yenu ndio mmeelimika kila mtanzania amelimika. sisi tutachukuwa mademu zetu wala msiwe na wasiwasi.
Pole sana kaka.
Acha kusikiliza ujinga wa hao mademu....haya men brains zipo kichwani....just make money and see watakavyo jileta....kama mademu wakibongo hawataki chukua weingine wa nchi za jirani...
Choka Bojo!
Mademu wanaizimia kachabari , rugange na katerero zenu
wangekuwa mademu wana zimikia kachabari,rugange na katerero zenu kwanini jamaa analalamika?
na si mademu wote utawavuta kwa pesa zako siku hizi mademu hawashobokei pesa zako wanatengeneza nawao zao so msimshauri vibaya mwenzenu bure.
cha muhimu amuombe mungu,mungu atampa mke mwema au demu mwema atakaye mpenda hata kama hana pesa.
pesa si ufunguo wa penzi au maisha mke mwema na mume mwema,pesa zinatafutwa zinapatikana na zina yayuka pia mungu daima hayayuki ukimuomba yeye.
Typical stereotype, that's all I can say!
Post a Comment