Mrembo na mjasiliamali kutoka Uganda, Zari Hassan ameonekana kushangazwa na kitendo cha mwigizaji Wema Sepetu kukejeli ujauzizo alionao ambao amepewa na Diamond ambae alikuwa mpezi wa Wema.
Mbali na watu kadhaa ambao wamejinasibisha mitandao kuwa wao hawayapendi mahusiano ya Zari na Diamond kusambaza mtandaoni picha ya Zari ikiwa na maneno ya kejeli kuhusu mimba aliyonayo, Wema nae alishiriki kuiweka picha hiyo yenye maneno ya kejeli yanayosomeka ‘Mimba My Foot”kama yanavyosomeka kwenye picha hapo juu.
Kitendo hicho kikamfanya mwanamama Zari kuamua kujibu wa maneno “Astagafululah…..sometimes we have to wish people good ....this is too much”
Maneno ambayo yalionyesha ukomavu na busara ya hali ya juu alionayo mwanamama huyu kwenye maswala ya mahusiano na maisha.
Hivi jamani ukiacha na mpenzi wako hauwezi kumtakia mazuri kwenye maisha yake?
SOURCE:EMMANUEL SHILATU
SOURCE:EMMANUEL SHILATU
zarinah uko juu maa achana nao vikojozi,huna haja ya kuwajibu wala kuwaeleza chochote you and her you are not on the same page wewe matawi ya juu mummy.ukiwa unakaa kushirika her,her says utajipasua kichwa bure. unajua waswahili wana msemo usemao,mti wenye matunda hakosi kupigwa mawe(a tree that bears juicy fruites will always be thrown stones because every one want those fruits)
ReplyDeletenilikuwa nampenda wema but namuona bado ana akili za kitoto na bado hakuwi na nimekuona wewe you got brains girls,Allah akulende na mahasidi,umewachoma moyo wa mkuki achana nao.achana nao.
waabiye washike lao.wambia pia ukisema wa nini mwenzako anakuambia nitampata lini,si walikuwa wakimdharau diamond sasa kiko wapi kiko wapi kiko wapi.
nakuombea dua ujifunguwe salamaa na maahasidi na vijicho vyao Allah akunusunu nao.
we love you and diamond mnapendeza na mnaendana.hongera sana.
Upuhuzi mtupu
ReplyDeletejamani mbona wabongo vilaza sana, hamuoni hiyo fake pregnant belly zinauzwa madukani. sasa tusubiri the end of day atasema mimba imeharibika. hakuna mimba hapo anavaa pregnant belly, nyie kaeni mkifuatilia wenyewe wanatengeneza news nyiynyi mnakaa mnajibishana mitaoni
ReplyDeleteZari uko juu umetulia sio wema mtoto mdogo anaangaika na dunia,
ReplyDeletejamani yote yanatokana na mapenzi wema bado anampenda Mond wake siunajua tena mfa maji.........
ReplyDeletekumbe kuna mimiba ya kutengeneza jamani mmm?wabongo kwa kweli mmepiga hatua si mchezo mmmh nilikuwa sijui
ReplyDelete