Tuesday, February 24, 2015

KIATU KILICHOVUTIA SIKU YA LEO

Hiki ndiyo kiatu kilichovutia siku ya leo na wewe utakubaliana na nisemalo jitiririshe kiroho safi.

1 comment:

  1. ebwana eeh raizoni kaka shayoo Enzi za zamani tulikuwa tunasemaga maneno hayo. eebwana eeh kuna watu wanavyo hivi viatu eebwana eeh umenikumbusha mbali sana.
    ahsante luke na vijimambo team wote.duuu bab kubwa.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake