Tuesday, February 24, 2015

TANZANIA TANZANIA JINA LAKO NI TAMU SAAAAAAANA

Mpaka karne hii tunakuwa na imani potofu hivi ni nani aliyetuloga wa Tz, utafiti ulifanyika! wahusika! wakabainika!,mpaka leo mwaka mwingine wa uchaguzi umefika! hakuna kilichofanyika!, je'na viongozi wanahusika? Sheria mikononi mwetu sasa kw yeyote anayehusika! 
Zuia mauaji ya


STOP KILLING OUR DEAR BROTHERS & SISTERS WITH ALBINISM.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake