ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 19, 2015

AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA MIKUMI LEO

 Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya ajali ni mwendo kasi Vijimambo inaendelea kufuatilia ajali hii kwa karibu na inawapa pole wale wote waliopatwa na msiba ya wapendwa wao na kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwaombea majeruhi wote wapate nafuu haraka.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 


1 comment:

Anonymous said...

tujiulize hivi hizi ajali zinazotokea kila mara chanzo nini?na nani wa kuzibiti ajali zisitokea na maajabu ya mungu kila leo tunasikia ajali ajali,na mara mto umewaka bwenini kwa wanafunzi mara wachungaji wamekamatwa gesti mara ufisadi wa escrow.

Tanzania nchi yangu nakupenda sana but huishi vituko na maajabu.

ajali zinazotoke ni ka ajili ya kafara ya nchii hii tukisema hivi tutakuwa tunakosea?