Imelda Mtema
MODO maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’ ameshtushwa na ushindi wa makalio yake baada ya kutojua kama ametajwa kuwa ni mwanamke mwenye makalio mazuri Afrika Mashariki.
Masogange alishinda nafasi hiyo kupitia utafiti uliofanywa na mtandao wa Media Take Out ambapo kwa kutumia vigezo vyao, walimwanika Masogange kuwa ndiye mwanamke pekee mwenye makalio bomba wakidai amejengeka vizuri zaidi.
“Daah! Mimi mwenyewe nilikuwa sijui, nashukuru kama wao wameona mimi ndiyo mwenye kiungo hicho muhimu cha kuvutia na bora kwa wanawake wengine wote,” alisema Masogange ambaye kwa sasa amehamishia makazi yake nchini Afrika Kusini.
Credit:GPL
3 comments:
Yaani ni huko tuu mmekalia halafu mnashangaa hakuna maendeleo...mnaniudhi saana kwa akili fupi.
Acheni ujinga huo,tuandikieni mada za mana sio makalio,makalio yake mwenyewe.
Hi I huyo binti hana wazazi/ familia.!!??? Kila siku kupiga picha za ajabu ajabu tu maana yake nini๐๐๐๐๐...
Mtu mwenye heshima zake na busara za wazazi hata kama wamefariki hawezi kufanya upuuzi kama wa huyu binti. Nakuomba usiweke weke picha kama hizi maana watoto wetu huwa wanajifunzia Kiswahili mara baada ya kutoka kule kwenye Darasa la Jumuia la kila wikiendi
Samahani kama utanielewa sivyo Mkuu
Kila la kheri
Post a Comment