Tangazo la msiba. Familia ya Mlima na ya Dimosso. Tunaskitika kutangaza kifo Cha mpendwa wetu Rajabu Nestor Dimosso. Kilichotokea ktk hospitali ya Muhimbili March 18, mwili utasafirishwa kesho saa Tano asubuhi kutoka Muhimbili kwenda Morogoro na mazishi baadae Morogoro 03/19/2015. Msiba upo Nyumbani kwake Kihonda Morogoro.
Kwa taarifa
No comments:
Post a Comment