Amisi na Msavu waing'arisha Yanga taifa kiroho safi warudi kileleni baada ya kuilaza Kagera 2-1 sasa kwenda Zimbabwe wakiwa fulu mziki kiroho safi.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Musley Al Rawah alikuwa kati ya waliokuwa uwanjani wakati Simba ikipoteza dhidi ya Mgambo Shooting kwa kufungwa kwa mabao 2-0.
Katika picha inaonekana Musley kama akijaribu kuangalia saa kupitia simu yake.
Lakini muda unayoyoma, hakuna dalili za Simba kusawazisha. “Aaah, ndiyo soka, utafanyaje sasa.”Lakini kheli tufungwe na timu yeyote kuliko Yanga kwaheli.
Simba huko Tanga wakalia kigoda na kuogeshwa mara 2 bila majibu na maafande wa mgambo JKT licha ya majigambo mengi baada ya kuilaza Yanga na Mtibwa, wagoma kuingia vyumba vya kubadilishia nguo na kwenda kubadilishia kwenye basi lao
No comments:
Post a Comment