Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.
Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi? Katika Mkutanao wa Chama hicho Mwanza Zitto Alishindwa Kujibu Swali hilo na Badala yake alisema Kawaulize kina Mzee Mtei Chadema nao Wanapata Wapi Fedha za Kufadhili Mikutano yao...
Wadhamini wa chama ni akinanani.?
Kama mtanzania nahitaji majibu?
2 comments:
Mumekwenda mchomo na rangi ya bendera. Mmmmmmh.
Asante mdau. Zitto inaonekana unafanya usanii!! Wazi kabisa zito ulichukua fedha nyingi kwa ajili ya kutafuta kuibomoa Chadema na walokupa fedha hiyo ni CCM tSH. MIL. 100 wala usibishe! Walipokushtukia CHADEMA pamoja na wafuasi wako kina Mwigamba, habari zote walizotoa hazikuwa za uzushi na kweli ulikuw ana mpango wa kuanzisha chama na ndicho ulichoendea!! Hujiulizie tu WaTanzania sio wajinga unapita mkoa hadi mkoa kufanya mikutano!! hatutashangaa na wewe kusikia umechukua fedha nyingi tu kutoka ESCRW kwa RUGEMALILA!! Vinginevyo tueleze una sera gani khakiki fedha hizo zinarudi kwenye mtandao ili waTanzania waishi kwa amanina utulivu>!!
Post a Comment