ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 17, 2015

BAADA YA KUTANGAZA KUACHIA NGAZI KWA KOCHA BORUSSIA DORTMUND WENGER TUMBO JOTO


JURGEN KLOPP


Jurgen Klopp kocha wa Borussia Dortmund ametangaza kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo  ya Ujerman, Jurgen mwenye umri wa miaka 47 amekuwa kocha wa Borussia kwa miaka saba na kuiwezesha kutwaa ubigwa wa Bundesliga mara mbili na pia kuiwezesha timu hiyo kuingia fainali za Club bingwa Ulaya mara moja. Jurgen katangaza nia hiyo ya kuachana na timu hiyo baada ya ligi kumalizika na anatamani kufundisha moja ya timu za ligi ya Barclay Premier League  na baada ya kusikia hivyo kocha wa Arsenal ameingiwa na tumbo joto kwani kutokana na timu hiyo ya Arsenal kuwa na kiu ya vikombe uenda uongozi wa juu wa timu hiyo ukamnyemelea kocha huyo wa Borussia hili aende kuikomboa Arsenal inayo sua sua bila vikombe vya kutosha.

No comments: