ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 17, 2015

ASKOFU GWAJIMA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM

 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.(Picha na Francis Dande wa Habari Mseto Blog)
 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima (katikati) akiwa na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
                     Askofu Gwajima (kushoto) akitoka mahakamani.
 Gari la Polisi likiwa katika doria nyumbani kwa Gwajima leo.
 Polisi wakitoka katika mahakama ya Kisutu ambako askofu Gwajima alifikishwa mahakamani hapo.
Polisi wakiwa katika gari maalum la maji ya kuwasha wakati wakitoka mahakamani.

No comments: