Ndugu yetu, dada yetu na Mtanzania mwenzetu Rhoda Kasanga amefiwa na mpendwa baba yake mzazi siku ya Alhamisi April 16, 2015 nyumbani Tanzania.
Hapa DMV msiba upo
706 Chillum Rd, Apt 201,
Hyttsville, MD 20783
Kupena pole na kufarijiana ndio malezi tuliyokulia ikiwemo upendo na ukarimu. Ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa mfiwa utoe mkono wa pole au unaweza kumpigia simu 301 272 5922
Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment