ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 17, 2015

Waziri Wasira na ujumbe wake ziarani Poland

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen M. Wasira, yuko nchini Poland kwa ziara ya kikazi aliyokaribishwa na Waziri Wa Kilimo wa nchi hiyo Marek Sawicki. Pamoja na mambo mengine, ziara hii inahusu Ujenzi wa kiwanda cha Matrekta ya Ursus na Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi chakula chini ya NFRA. Katika ziara hiyo Mhe. Wasira ameambatana na na Mkuu wa Hifadhi ya Chakula wa Taifa (NFRA) Charles Walwa, pamoja na Maofisa wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika na SUMA JKT.
Waziri Wasira pamoja wa ujumbe wake walivyowasili Warsaw, Poland tarehe 16 April 2015
Waziri Wasira akifanya mazungumzo na menejimenti ya kampuni inayotengrneza matrekta ya Ursus katika ofisi za Ursus mjini Warsaw, Poland
Wajumbe wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika wakiwa na mwakilishi wa kampuni ya Ursus Tanzania, Mama Grazyna Tairo
Waziri Wasira na ujumbe wake wakifanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo wa Poland Mhe. Marek Sawicki

No comments: