ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 30, 2015

BALOZI KAMALA ABAINISHA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI ZINAZIPATIKANA TANZANIA

Balozi wa Tanzania Ubelegiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akibainisha fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji linalofanyika Genval Ubeligiji.

2 comments:

Anonymous said...

Naelewa ni sawa kupeperusha bendera panapofaa lakini na uliza kwenye diplomasia hapa kweli imekaa sawa? hebu wenzetu wa mambo ya nje watushauri. huku ulaya twakuna na wanadiplomasia wengi lakni hii ya kujizungushia bendera naiona kwetu tu. wengine naona wanavaa vipini vidogo ambavyo naona labda ni sahihi. lakini kwa vile sijui diplomasia naomba ushauri kwa wenzetu. kuuliza si ujinga naomba mnistahi.

Anonymous said...

I suppose ni ignorance kwa mvaaji