ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 17, 2015

CHAMA CHA ACT CHAFANYA MKUTANO MKOANI SHINYANGA


Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Anna Mngwhira, akiwahutubia wakazi wa mji wa Kahama Mkoani Shinyanga jana kwenye viwanja vya CDT,wakati wa mkutano wa chama hicho wakutafuta uungwaji mkono kwa wananchi. (Picha na Said Powa)
Wananchi wa mji wa Kahama wakiwashangilia viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CDT Mjini hapa.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo,Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Kahama Mkoani Shinyanga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CDT, ambapo aliwashukuru wakazi wa mji huo kwani walimuunga mkono wakati alipopeleka hoja Bungeni kuhusu wizi kwenye mgodi wa dhahabu wa Buzwagi. 

No comments: