DJ Dullah Msangi aki-BBQ nyumbani kwake Hoover, Alabama. BBQ hiyo iliandaliwa kuadhimisha pasaka pamoja na kukaribisha baadhi ya ndugu kutoka Tanzania.
Kutoka kushoto: Dullah, Victor, wakizungumza na Mama Mtui.
Rafiki wa Dullah Msangi wakipata mlo aliowaandalia nyumbani kwake. Kutoka kushoto: Gerald, Awwal, na Victor.
Wageni waalikwa wakifurahia mjumuiko wa chakula cha jioni nyumbani kwa Dullah Msangi. Kutoka kushoto ni Mtoto Caren, Mama Mtui, na bi harusi mtarajiwa Suzan, ambaye ni mchumba wa Oswald. Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI.
Oswald (kushoto) na Charlie wakibadilishana mawazo katika BBQ iliyofana sana nyumbani kwa Dullah Msangi, Hoover, Alabama.
Ilikua pia ni siku ya kubadilishana mawazo na baadhi ya ndugu waliokuja kutoka Tanzania kuhudhuria harusi ya Oswald na Suzan itakayofanyika Jumamosi ijayo (April 11, 2015) hapo Hoover, Alabama. Kutoka Kushoto: Dada wa Oswald (kutoka Tanzania), Hawa, pamoja na Dullah Msangi.
Wageni waalikwa wakitazama final four ya basketball kati ya Duke na Michigan, pamoja na Wisconsin na Kentucky. Ilikua ni siku iliyofana sana.
Picha ya pamoja. Kutoka kushoto: Oswald, Gerald, Charlie, Victor, na Awwal.
Baba mzazi wa Oswald akifurahia jambo na Dullah Msangi.
Rafiki wa Dullah Msangi katika picha ya pamoja mapema Jumapili baada ya BBQ hiyo. Hawa (kushoto) na Reggie.
1 comment:
TV mbili sehemu moja zikionyesha channel moja !!?
Post a Comment