KISUMU PROFESSIONAL MOURNERS OUT 2015 PRICES.
1.kulia for 1hour.............1500.
2.kushtua kilio(gweyo)......500.
4.kupiga nduru plain......2000.
5.kupiga nduru ukidengua kiuno kanungo.....2500.
6. kuroll kwa ground ukilia saaana....5000.
7.kukimbia kwa compound ukilia......900.
8.kulia ukinyamba nyamba. ......4000.
9.kukunja sura plain. .........200.
10.kutetemeka plain.........999.
11.kuwa mang'aa ukirukia grave uzikwe na maiti. ......7000
1 comment:
Duh! hii kali....watu wengine wanawahitaji hawa maana hawana watu wa kuwasaidia kulia...Duh! kazi kweli kweli
Post a Comment