ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 10, 2015

HAPPY BIRTHDAY


WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC, WANAPENDA KUMTAKIA KILA LA KHERI MHE, BALOZI LIBERATA MULAMULA KWA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA PAMOJA TUNASEMA HAPPY BIRTHDAY.

4 comments:

Anonymous said...

Happy birthday mama balozi,mungu akuzidishie baraka na hekima nyingi.we love you mama

Anonymous said...

Hongera sana Mheshimiwa balozi Mulamula, kwa niaba ya wabongo wote tunaoishi Virginia ninakuombea MUNGU akubariki saaaana na kukuongezea miaka mingine mingi. MUNGU akuongezee upendo, busara na hekima nyingi saaaana katika maisha yako ya kila siku, hasa sana kwa nafasi uliyonayo. Umekuwa ni kiongozi wa kuigwa, tumejifunza na tumepata mengi kutoka kwako, MUNGU akubariki sana.

Anicetus said...

Sema mama sema: balozi mwanamke mwenye heshima nyingi, Mungu akuongezee muda mwingi wa kusema mengi ambayo hayasemwi.

Anonymous said...

Happy Birthday Mheshimiwa Balozi Mulamula na Mungu akubariki tele. Tunakupenda Mama yetu.