ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 6, 2015

Hizi Ndizo Mali Alizoorezesha ZITTO KABWE Kwenye Fomu Ya Maadili ya chama chacke Cha ACT





2 comments:

Anonymous said...

Huu ni mchezo tu. Haiwezi kuondoa hali mbaya ya uchumibwa Tanzania. Mtanzania wa kawaida hata mkopo wa mil moja ananyimwa kufanyia biashara. Viongozi wengi mna rasilimali lukuki kila mkoa!!?

Anonymous said...

Huu ni usanii wa kawaida wa wanasiasa wetu. Huyu ndiye mtu anayedai amejitoa kupigania maslahi ya wanyonge, ambao wengi wao hawana uhakika watakula nini kila kuitwapo leo, hawana nyumba hata moja, wana nguo kauka nikuvae, hawana viatu hata pair moja, hawana hata baiskeli, hawana ardhi wanayomiliki pamoja na kwamba maisha yao yanategemea zaidi raslimali kama ardhi ili kuendesha maisha yao, n.k. Kwa mtu mwenye uchungu wa dhati hawazi kuhozi mali yote hiyo, katika mikoa mitatu tofauti, huku walala hoi wakiendelea kuwa walala hoi zaidi.

Wanasiasa acheni usanii!!!