ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 6, 2015

KAMA ULIPITWA NA MANENO YALIYOSABABISHA MCHUNGAJI GWAJIMA KUTEMBELEA KITI PITIA VIDEO HII NA CHANGIA NENO

9 comments:

Anonymous said...

Gwajima ayuko sawa ,anajuwa ,anachaoongea ,mungu ,amsaidie ,Gwajima. haaaaaa.

Anonymous said...

Inasikitisha Gwajima analugha chafu, ni aibu kutukana. Acha hasira unaweza kutofautiana kistaarabu . Uchochezi na ushabiki wa aina hii ni hatari!!!!

Anonymous said...

Hii noma kapagawa na mapepo

mchumi said...

Kwan Gwajima ndio nani?

mchumi said...

Kwani Gwajim ndio nani?

mchumi said...

Kwani Gwajima ndio nani?

Anonymous said...

Muhuni na wahuni wenzie wako kazini.

Anonymous said...

Jamani Gwajima huwa hatoi Mgao kwenye media kama wengine na wanasiasa..sasa mtaandika mpaka mtachoka...

Anonymous said...

Kuna nahau ya hekima inasema " Politeness cost nothing but it gives pleasure to everyone/everybody" Gwajima based on above character you displayed take lesson from this!!